July 04, 2016

  Baad aya kukaa kimya kidogo katika upande wa muziki, sasa mwana dada Diva Loveness Love ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa Baby Boy. Katika wimbo huo Diva amewashirikisha Bill Nass na Mr. Blue. Wimbo umefanyika Fish Crub chini ya Producer Lamar pamoja na Ambrosi Dunga

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE