July 24, 2016


Mkali wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Mash J Mperampera ameachia Audio ya wimbo wake wa Taarifa aliomshirikisha G-Nako. Wimbo huo uliofanywa na Producer Vennt Skillz wa Kwanza Record za Mkoani Morogoro Video yake ilianza kutoka wiki iliyopita na kupokewa vema sana na wadau wa mziki nchini.

Download hapa chini Audio

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE