July 20, 2016


Hatimaye ile kiu na hamu ya mashabiki wa Dayna Nyange imetatuliwa kwa wimbo huu mpya wa Komela. Dayna Nyange mkali wa Hit song kama Mafungu ya nyanya, fimbo ya mapenzi, Nivute kwako, I Do, Nitulize na Angejua, katika wimbo huu mpya alimtafuta mkali wa Chaf Poz Bill Nass  na kazi ikakamailika katika mikono salama ya MR. T. Touch katika chumba cha Freenation Records. 
 Enjoy kuskiliza na ku download hapa

Related Posts:

  • Kuhusu Point 3 za Kagera, Simba yaivaa TFF   Klabu ya Simba leo imeibuka na kupinga utaratibu unaotumiwa na TFF katika kushughulikia suala la pointi 3 ilizopewa kutoka klabu ya Kagera Sugar kwa kosa la kumchezesha mchezaji aliyekuwa na kadi 3, huku… Read More
  • Point za mezani na Mitazamo ya Rage Ismail Aden Rage-Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC Mwenyekiti wa zamani wa Simba Alhaj Aden Rage ameungana na wadau wengine kupinga matokeo ya mezani kwakua kuna njia nyingi za kuweza kuepuka timu kupewa au kupokw… Read More
  • LIVE: Barcelona VS Juventus   Muda huu kuna mpambano unaoendelea kati ya Barcelona na Juventus. Tumekuwekea hapa waweza kufwatilia mpaka mwisho ili uweze kujua nini kinajiri katika mpambano huu        &nbs… Read More
  • Tweet ya Prof. J kuhusu Millard Ayo hii hapa   Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya CHADEMA Joseph Haule Prof, J, amempongeza mtangazaji wa Clouds Media Millard Ayo kwa kutoa habari zake na kupaza sauti za wanyonge.  Prof J ametweet leo hii  Joseph L.… Read More
  • Brand new Audio song: Mash J - MR. Masumbuko Prod Vennt Skillz   Kutoka mkoani Morogoro katika studio za Kwanza Records zilizopo Forest, Producer Vennt Skillz ametuletea mzigo mwingine uliotoka kwenye mikono yake. Wimbo wa Mash J unaitwa Mr. Masumbuko. Enjoy hapa kwa kuski… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE