
Dj
D-Ommy wa CLOUDS FM ametajwa kuwania tuzo za AFRICAN
ENTERTAINMENT AWARDS USA kwenye kipengele cha BEST DJ zitakazotolewa
Nchini Marekani.Naomba tumpigie Kura kupitia link ktk bio yake ya
@djdommy kwenye Instagram au tembelea "WWw.aeausa.net" ili aweze kuleta ushindi huu nyumbani,Ahsante sana mTanzania mwenzangu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment