July 7,2016 mwimbaji staa wa
bongofleva toka mkoani Morogoro Belle 9 alitumia time yake kwenye stage usiku wa EID Pili
baada ya kuwakutanisha mastaa wa Bongofleva kwenye jukwaa moja uwanja wa
Jamhuri Morogoro.
Show hiyo ilipewa jina la BMS TOUR ilisindikizwa na wakali wengine bongoflevani akiwemo Izzo Bizness, Dayna Nyange, Afande Sele, Jay Moe, Mo Music, Stamina Shilole, Darassa na Professor Jya.
Host wa show nzima alikuwa ni Mtangazaji mahili wa kipindi cha XXL cha Clouds Fm Hamis Mandi B. Dozen

Dayna Nyange

.

.

Izzo Bizness

Afande Sele, Belle 9 na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Profesa Jay

.

Profesa Jay

.

Belle 9

.
Picha kwa hisani ya Millardayo.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment