Diva Giving for Charity yafanyika Morogoro kwa mara ya kwanza
Diva Giving For Charity ni project maalum ya kuchangia watoto yatima na waishio katika mazingira hatarishi iliyoanzishwa na mtangazaji maarufu wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds fm Diva Loveness Love maarufu @Diva…Read More
Nape Afunguka Tena Tukio la Kutishiwa Bastola
Mbunge wa Mtama,Nape Nnauye amezungumzia kwa mara ya kwanza tukio lake la kutishiwa bastola miaka miwili iliyopita.
Katika
maelezo yake, Nape amsema wakati anatishiwa kwa bastola miaka miwil…Read More
Mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram majanga matupu
Mtandao wa kijamii wa Facebook kwa sasa inakumbwa na hali mbaya zaidi
ya mawasiliano kuwahi kutokea katika historia yake kwani huduma nyingi
hazipatikani kote ulimwenguni. “Tunafahamu kuwa baadhi ya watu hawana
hawawezi…Read More
Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3530
Katika
kuadhimisha miaka 55 ya Muungano wa Aprili 26, 2019, Rais Magufuli kwa
kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa ambapo …Read More
Bad News CHADEMA , Mbunge wao avuliwa ubunge leo hii
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai
amemuandikia barua Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage
kumtaarifu kuwa jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Mbunge Joshua
Nassari (CHA…Read More
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment