Vibanda vya wafanyabiashara katika soko la Mwana Kwerekwe Zanzibar vimetetekea baada ya moto mkubwa kuwaka sokoni hapo.
Chanzo cha moto huo ni uchomaji watakataka pembezoni mwa soko hilo. Wakati takataka hizo zikichomwa nfio upepo ulipeperusha moto huo na kisha kulipuka na kuchoma vibanda hivyo.




Chanzo:swahilitimes.com/
0 MAONI YAKO:
Post a Comment