July 24, 2016

 

Ni kundi la muziki asili wa Mchiriku toka nchini Tanzania. Ni miungoni mwa makundi machache sana yanayofanya mziki huo wa Mchiriku. Mziki wa Mchiriku ni mziki uliopata umaarufu sana mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka mwishoni kabla ya kupotea na kurudi tena katika mtindo wa kisasa. Tazama hii show ya Jagwa waliyoifanya live jukwaani
                         

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE