Ki ukweli kabisa, ukizungumzia makundi ya mziki wa Hip Hop hapa Tanzania lazima hutaacha kulitaja hili kundi la Hip Hop toka Jijini Arusha linaloitwa Watengwa. Sasa hii leo mtengwa Chindo Man ametuletea wimbo wake unaitwa Toratyi ya mtaa
Humu ndani kuna vichwa kama Fid Q, Wakazi, Dully Sykes
0 MAONI YAKO:
Post a Comment