August 05, 2016

Baada ya July 7 2016 kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Jerry Muro, August 5 2016 Jerry Muro kaongea na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza toka afungiwe.

“Leo nimesoma gazeti limeandikwa Jerry aambiwa na TFF akate rufaa nashukuru viongozi wangu wanachama na mashabiki lakini tumepata barua ya mimi kufungiwa kwangu, kitu kimoja nachoweza kusema sijakata rufaa kwa sababu bado sijapokea nakala ya hukumu hivyo nawaomba TFF wanipatiE nakala ya hukumu”



                   

Related Posts:

  • Diamond Katika maandalizi ya Tuzo   Habari Za Hivi Punde Msanii Wa Nyumbani Daimond Platnumz Akiwa Katika Maandalizi Ya Tuzo Za Mtv Jumamosi Hii Huko SouthAfrica Msanii Huyo Amechaguliwa Kushindania Tuzo Nyingne Nchini Marekani Ziitwazo #AfricanE… Read More
  • Audio:Matonya awataja watu maarufu wenye visa  Mkali wa muzii wa bongo fleva Matonya, amekuja na wimbo wake mpya uitwao Visa. Ingia hapa   kudownload … Read More
  • Kingunge: "Kamati ya maadili imefanya kazi isiyowahusu" Jana akiwa nyumbani kwake Mwanasiasa Mgongwe nchini na Muasisi wa Chama cha Mapinduzi – CCM, Mzee Kingunge Ngombari Mwiru aliongea na waandishi wa habari na kutoa maoni yake juu ya mchakato mzima wa chama chake c… Read More
  • CUF: hatujasusia wala kujitoa UKAWA. Chama cha Wananchi CUF kimekanusha taarifa zilizoenea kuwa kimejitoa kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) CUF imesema kuwa haikuhudhuria katika kikao cha Ukawa kilichoendelea jana kwa sababu kwanza hawak… Read More
  • Muziki wamuachisha kazi Vanessa Vanessa Mdee ameamua kuachana na kazi ya utangazaji wa redio na TV na kufanya muziki kuwa kazi ya muda wote. Akiongea kwenye mahojiano na jarida la Essence la Marekani, Vanessa amesema muziki ni kitu alichoamua kukipa mu… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE