Lou Pearlman ambaye atakumbukwa kwa kuibua vipaji vya watu wengi, amekutwa na mauti akiwa gerezeni ambapo alihukumiwa kifungo cha miaka 25 mwaka 2008 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ubadhirifu wa fedha iliyokuwa ikimkabili.
Lou alikuwa akikabiliwa na kesi ya ubadhirifu wa dola milioni 300 za Kimarekani kutoka katika mradi wa Ponzi (Ponzi scheme).
Waimbaji kutoka katika bendi mbalimbali alizowahi kuziogoza walisema kuwa, huenda akawa sio miongoni mwa wafanyabishara waliofanikiwa zaidi, lakini aliweza kufanikiwa kwa kuwasaidia watu kufikia malengo yao kwani wanaamini kuwa, huenda kama siyo jitihada zake basi wa wasingekuwa wasanii leo hii.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment