August 27, 2016

 

Ikiwa ni wiki moja imepita tangu tamasha la Tigo Fieasta 2016 kuzinduliwa rasmi pale jijini Mwanza na mkali kutoka Nigeria Wizkid, sasa ni mchakamchaka. Siku ya jana ilikuwa zamu ya wakazi wa Kahama ambao wali enjoy vya kutosha kwa kupata burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wanaofanya poa sana kwa sasa katika game hii ya Bongo 

  
Kipenzi cha warembo, kipenzi cha Masela  wanamuitaga mrbluebyser1 amewasimulia vyema wana Kahama kuhusu yule mtoto Mboga7 


 
Mwamba kutoka Kaskazini johmakinitz akifanya yake


 
Maua sama akikonga nyoyio za mashabiki wa Kahama

  

Mtoto wa Uswazi uswazini wanamuita Sholo Mwamba akikamua vilivyo hasa

  
Sehemu ya umati wa wakazi wa Kahama na maeneo jirani . HAkika mlitisha sana
 
Mtu wa Hatari, sauti ya hatari na show ya hatari. Mzee wa masauti Christian Bella
  
Kutoka XXL ya Clouds Fm anaitwa kenedytheremedy kwa mara ya kwanza kabisa akipanda katika jukwaa la Fiesta kama MC wetu.


  
Kutoka Tanzania House of Talent T H T anaitwa  nandy

  

Mkali wa HipHop Tanzania wanamuitaga Darassa, hili ni Darassa kweli 

Jumapili hii ya August 28 wakazi wa Muleba zamu yenu. #Imooooooo

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE