October 09, 2016

 
 Usiku wa jana kuamkia leo hii, wakazi wa Mtwara wameingia kwenye Historia ya mwaka 2016 kufuatia tamasha kubwa la Fiesta 2016 kutia nanga katika viwanja vya Nangwanda Sijaona.Wasanii kibao kama Darassa, Jay Moe, Snura, Dayna Nyange, Hamadai, MR.Blue walifanya bonge la show na kuwaacha wakazi wa Mtwara katika bonge la shangwe.

 
Snura mama akikamuka vilivyo katika jukwaa la Fiesta 2016 mkoani Mtwara

 
 msamibaby na 'dancers' wake ni level za mbali saaana

  
Young Dee kwenye stage 

  
Wengine wanamwita Rihanna wa TZ, anaitwa Dayna Nynage akikomelea jukwaani
 
Wengine wanamwita Beyonce wa Bongo, sasa tushike lipi?? Dayna Nynage ahsante kwa show yako

 
Kutoka THT anaitwa Hamadai

  
Kutoka A. Town City anaitwa  lordeyes naye alifanya yake umakondeni usiku wa jana

 
Wakazi wa Mtwara wakishangweka vilivyo katika show ya Fiesta usiku wa jana kuamkia leo katika viwanjwa vya Nangwanda Sijaona
 
Mkali kitambo mpaka leo hii , huwa hajawahi kuharibu. Anaitwa Jay Moe akifanya poa nyumbani kwao

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE