October 08, 2016

Tokeo la picha la Mombasa Rocks Music Festival 
Usiku wa 8 Oct kuamkia 9 itakuwa ni siku ya kihistoria kwa wakazi wa Mombasa nchini Kenya kufuatia kufanyika kwa show kubwa kabisa ya  Mombasa Rocks Music Festival, iliyowakutanisha mastar wa Afrika na Dunia. Wizkid kutoka Nigeria na Star mkubwa kabisa Duniani Chris Brown.Lakini katika Show hiyo pia watanzania wawili waliweza kushiriki katika jukwaa hilo. Ally Kiba na Vanessa Mdee. Hii hapa ni show ya Vanessa katika jukwaa hilo usiku wa kuamkia leo

                         

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE