LordEyez moja kati ya rapper kutoka kundi la Nako2NakoSoldiers aliamsha kijiji chake kwenye jukwaa la Fiesta2016 na kufanya washkaji wa A- town kupiga miluziii na shangwe
Best vocalist mwenye utajiri wa mashairi ya muziki wa Bongo flava @barnabaclassic kutoka HighTableSound amefanya kile mahaba ya watu wa R- Chuga kumbatiza kwa kumwita FundiWaMuziki
Umati ,kunwa uliojitokeza Shekh Amri Abeid kuadhimisha siku ya Fiesta jijini Arusha
NdegeMnana aka @officiallinah asiyechuja miaka yote amekuwa mpya na kufanya maninja wa A- city kumuelewa ile mbayaaa.
Ubunifu wake juu ya jukwaa unazidi kumpa heshima kubwa kila Mkoa anapopanda kwenye Fiesta2016 Benpol anaathibitisha KingOfRnB ndani ya uwanja wa SheikhAmriAbeid woozaaaa.
La kipekee kutoka Chuganian; Raia wamepanda juu ya goli.
Man Dojo na Domokaya wamevamia jukwaa la Fiesta2016 bila taarifa.
bellachristian1 jukwaani, kitambaa hewani , Fiesta2016
Mwanamama @fezakessy alikiamsha kwenye jukwaa la Fiesta2016 nyumbani kwao Arusha.
Wenye Chuga yao; Huyu mrembo ni wa hapa hapa Arusha, anaitwa Deeper
Kuna wakati unaweza kujikuta unamsalimia mdogo wako like " Shkamoo @dogojanjatz
Baba la Babaaa..WakishuaSelfMade @adamchomvu alisema na washkaji wake wa A- town, salute kwa maninja wote wa Arusha jana mmeitika mbayaaa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment