Uvunjwaji wa soko kuu la Mkoa wa Morogoro unaoendelea sasa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa, umelalamikiwa na baazi ya wafanya biashara wa soko hilo kwa madai kwamba hawajapewa muda wa kutosha. Akiongea na ubalozini.blogspot.com katika eneo la soko hilo, mmoja ya wafanya biashara hao aliyejitambulisha kwa jina la ABdallah Saidi amesema, wamesikitishwa na hatua zilizofanywa na manispaa ambazo zimeleta asara kubwa kwa wafanya biashara hao
Msikilize hapa Abdallah Saidi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment