October 25, 2016

magufuli-2

IKIWA ni mwaka mmoja kamili tangu kuchaguliwa kwake na kuingia madarakani kuwatumikia Watanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ‘JPM’ ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’
Katika tuzo hiyo, JPM anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda.
Ili kukamilika ukipagi kura, zimebaki siku 22 tu wakati hadi sasa Rais Magufuli anaongoza akiwa na asilimia 74%. Unaweza kumpigia kura Rais Magufuli kwa BOFYA HAPA KUMPIGIA KURA J P M

Matokeo mpaka sasa ni 



 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE