Wiki iliyopita kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM,Diamond Platnumz alitangaza kuja na album yake,lakini Rapper Darassa haamini kama soko la album kibongobongo linaruhusu kufanya hivyo.
Darassa ameiambia Dizzim Online kuwa yuko tayari kutoa album hata sasa hivi,lakini misingi la soko hilo ndio linamuogopesha.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment