February 16, 2017

Image result for Mr Nay - Muda wetu 

Nay True Boy ametuletea Video ya wimbo wake mpya kabisa inaitwa Muda wetu.
Audio ya wimbo huu imefanywa katika studio za free nation chini ya producer Awsome huku Video ikifanywa na Director Abel Dedo.

                          

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE