
Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji, akiingia Mahakama ya Kisutu leo mchana baada ya kuwasili mahakamani hapo kwa ajili ya kupandishwa Kizimbani kujibu mashitaka.Manji baada ya kupanda mahakamni alisomewa shitaka la kutumia Dawa za kulevya, ambapo alikana shitaka hilo na kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa kila mmoja bondi ya sh milioni 10.
Manji akielekea kupanda Mahakamani leo
Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa, akizungumza jambo na baadhi ya wasaidizi wake.
Mkwasa na wenzake wakiwa mahakamani
Shabiki wa Yanga akisikitika wakati akiwa mahakamani hapo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment