
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ali Kiba amewajuza mashabiki zake kwa kupost ujumbe ulioonesha kupata nafasi ya kutumbuiza katika tamasha hilo ambalo linafahamika kama One Africa Premium Fashion litakalofanyika tarehe 12 mwezi wa 5 Jijini London akiwa na wasanii wengine kama Victoria Kimani ,Flavour,Bank W ,Tiwa Savage na wengine “One Africa Fashion at the heart of London Cc @pauloo2104 #alikibaworldtour2k17 #kingkiba”
0 MAONI YAKO:
Post a Comment