
Diamond Platnum mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania, ameonekana kuanza vema huku akiwa na uchu wa mafanikio katika bidhaa yake mpya aliyoiingiza sokoni wiki hii ya manukato. Kwa sasa Chibu Perfume imeanza kupatikana nchini Marekani , kama wewe upo marekani na unahitaji au kuna mtu yupo Marekani na aliwahi kukuuliza kuhusu kupatikana kwa manukato haya, sasa unaweza kumuelekeza
My
People in AMERICA!!! Chek with @MissTanga to get your @chibuperfume
call / WhatsApp +13467727251 and your get it Delivered to your
Doorsteps!! #TheScentYouDeserve #SupportYourOwn
0 MAONI YAKO:
Post a Comment