April 30, 2017

Mjamzito 
Wanawake wengi huteseka kwa kukosa ujauzito, huangaika kupimo lakini vipimo huonyesha kuwa hawana tatizo lolote katika uzazi.Wakati mwingine huwa ni kutokana na kizazi kuwa mbali au homoni kutokuwa sawa (Hormone Imbalance).
Wengi wao wamepata ujauzito kwa kutumia dawa hizi :
MAHITAJI
  • Mbegu za halidali zilizotwangwa twangwa zenye uzito wa gramu 100
  • Asali mbichi ya asili yenye ujazo wa sentilita 25
  • Changanya na kuziacha kwa saa 24, ndani ya siku ya pili utachanganya ule mchanganyiko wa asali na mbegu za halidali na mafuta ya zaituni, utaacha ijichanganye tena kwa saa 24
MATUMIZI 
  • Utakuwa unakunywa vijiko vitatu asubuhi kabla ya kula chochote na usiku vijiko vitatu pindi unapotaka kulala ndani ya miezi sita(6), idadi kubwa wameona matokeo ndani ya miezi mitatu(3)
NB : Kama kizazi kipo mbali, basi atumie Mujjarabu katika uji wa Dona kusogeza kizazi
Kwa Tiba na Mawasiliano : 0783 83 70 93

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE