April 27, 2017


Anaitwa Hussein Makunga , jina maarufu katika muziki ni Makunga wa leo. Anatokea mkoani Morogoro katika label ya Mokomoko Movement moja ya Label kubwa sana mkoani Morogoro. Ameachi rasmi wimbo wake unaitwa Sio Vita. Wimbo umefanywa na Producer Vennt Skillz katika studio za Kwanza Records za mjini Morogoro.

Enjoy hapa kwa kuuskiliza na kudownload pia

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE