Mkali wa muziki na kipenzi cha warembo kutoka nchini Nigeria, Koredebello amekuja na kibao kingine kiitwacho Butterfly. Koredebello ni mmoja ya wanazmuiki wanaoaminika sana nchini Nigeria na Afrika kwa sasa ikiwemo Tanzania
Brand New Audio: 20% - Sitoi
Amekaa klwenye game kwa muda mrefu na aliandika historia ya Tanzania Music Award baada ya kuchukua tuzo 5.Akakaa nje ya game kwa muda. Anasifika kwa uwezo wake mkubwa sana wa kutunga nyimbo zenye ujumbe na sauti yake y…Read More
Official music video:Y. Tony - Martina
Baada ya kukaa kimya kwa muda sasa, muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo ‘Masebene’ Y-Tony amerejea tena kwa kishindo na video ya wimbo wake mpya ‘Martina’ akiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Fresh Code Entertainment.…Read More
Ripoti kuhusu ufisadi NSSF, Ingia hapa kuipata
Mapema leo, Julai
18, 2016 Wakurugenzi 6 na Mameneja 6 wa NSSF walisimamishwa kazi ili
kupisha uchunguzi wa utumiaji mbaya wa madaraka katika kutoa ajira,
manunuzi na mengineyo. Hapa chini ni taarifa ya ukaguzi wa hesa…Read More
Rajab Zahir ajiunga Mbeya City
Mlinzi wa kati Rajab Zahir aliyekuwa akicheza kwa mkopo kwenye klabu
ya Stand United akitokea Dar Young Africans ya jijini Dar es Salaam
amejiunga na kikosi cha Mbeya City Fc leo.
K…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment