BREAKING NEWS: MB. SUGU APATA AJALI YA GARI
Taarifa tulizozipata kupitia group la PAPASO , na baadaye kuthibitishwa na Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbili amepata ajali muda mchache uliopita katika mlima wa Kitonga.
Akiongea na MACHAKU BLOG t…Read More
WASHIRIKA WA SHAMBULIZI UFARANSA WASAKWA
Polisi nchini Ufaransa wamesema kuwa
wanawasaka washirika wa mhusika wa shambulizi la kigaidi Amedy
Coulibady aliyeuawa katika majibizano ya risasi na polisi katika
supermarket jana ijumaa. Hata hivyo pol…Read More
DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA TUZO NYINGINE ZA KIMATAIFA
Mkali wa muziki wa Bongo Freva toka nchini Tanzania Diamond Platnumz, anazidi kuchanja mbuga za kimataifa baada ya safari hii kushiriki katika tuzo nyingine kubwa nchini Nigeria.
Voting for the nominees of
the too…Read More
BLOGGER ATANDIKWA VIBOKO HADHRANI NA KIFUNGO CHA MIAKA 10
Mwanablogu wa saudi Arabia Raif Badawi aliyehukumiwa kifungo cha 10
Mwanablogu nchini Saudia amechapwa viboko hadharani kwa madai ya kutusi dini ya kiislamu.
Raif
Badawi ambaye alianzisha mtandao kwa jina '…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment