May 28, 2017

Image may contain: one or more people, car, outdoor and nature
Taarifa zilizotufikia punde zinasema Nahodha wa simba jonas mkude na baadhi ya wadau wa simba wamepata ajali wakati wakirejea kutoka dodoma.


Habari zasema ajali hiyo iliyotokea maeneo ya dumila mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la shose amefariki dunia na baadhi ya majeruhi waliokuwa wakisafiri na mkude wanatibiwa ktk hospitali ya mkoa wa morogoro
Image may contain: 1 person, standing and outdoor 
Shose 'wazza' Fidelis

Hata hivyo habar zaidi zadai capt wa mabingwa hao wapya wa kombe la fa hakuumia sana.na ameendelea na safari kwenda jijini dsm ktk kambi ya timu ya taifa.

Jeshi la Polisi bado hawajathibitisha kutokea kwa ajali hiyo na chanzo cha ajali hiyo.

Habari kwa hisani ya Nickson Mkilanya

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE