May 28, 2017

 

Mwili wa Marehemu Mfanya biashara Ivan, hatimaye umewasili nchini Uganda na kupokewa na mamia ya waombolezaji. Vilio, huzuni na majonzi vimetawala katika uwanja wa Ndege wa Entebe nchini humo. Ivan ambaye ni mzazi mwenzie na Zarina Hassan ambaye kwa sasa anaishi Diamond Platnum, alifariki usiku wa Alhamis nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa.

                

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE