May 28, 2017

 

 

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 AFCON , imemalizika usiku huu nchini Ghabon na  Timu ya taifa ya Mali wameweka rekodi baada ya kufanikiwa kutetea ubingwawao kwa kuifunga timu ya Taifa ya Ghana Goli moja kwa nunge.

 

 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE