Ni ndani ya ukumbi wa Kingstone Club Nanenane . Hii itakuwa siku ya Jumamosi ya Mei 13 2017 kwa kiingilio cha 300 kwa 500. Uskose mtu wetu.
Mwambie mwenzio kuwa Tiketi zinapatikana-0654 - 865 -099 na 0768- 649 - 420
Host: Peace the president toka Planet FM na Wille Makopa
Kwenye Maashine ni DJ Fradoh na DJ rash
Host: Peace the president toka Planet FM na Wille Makopa
Kwenye Maashine ni DJ Fradoh na DJ rash
0 MAONI YAKO:
Post a Comment