Azama TV wametupatia habari hii
Habari kutoka mkoani Kagera zinasema Basi la Mohammed Clasic linalotoka Bukoba kwenda Arusha limegonga ng'ombe zaidi
ya 30 katika pori la Burigi mkoani Kagera.Katika ajali hiyo tunaambiwa kuwa Hakuna madhara yoyote yaliyotokea kwa abiria wa basi hilo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment