Kesho ni siku ya mtoto wa Afrika. Mataifa ya Afrika yanaungana kwa pamoja kuiadhimisha siku hii muhimu kwa Mataifa hayo ya kiafrika. Kwa Tanzania maadhimisho haya kitaifa yatafanyika Mkoani Dodoma na kauli mbiu ya mwaka huu ni
#maendeleoendelevu 2030, Imarisha ulinzi na fursa sawa kwa watoto
0 MAONI YAKO:
Post a Comment