June 27, 2017

 

Mwanamuziki Amini Mwinyimkuu amekaa pembeni ya game kwa muda mrefu sana, tumekaa huku tukingoja atakuja na lipi hasa? Wahenga wamenena kuwa kimya kingi kina mshindo mkuu, na ndicho kilichofanywa naye sasa. Huu ndiyonwimbonwake mpya unaitwa YAMOYONI, ameamua kuyaweka hadharani. Video hii hapa

                         

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE