Naibu waziri mkuu Veysi Kaynak alikuwa miongoni wa wageni katika hafla hiyo ya mlo pamoja na wawkilishi wngine kutoka Ugiriki,Armenia pamoja na Mayahudi kutoka Bulgaria,na Georgia .
Mwenyeji wa hafla hiyo ya Iftar ni shirika la elimu na mshikamano la Mardin (MAREV).
Kaynak katika hotuba alisema kwamba neo 'Wachache ' linalotumiwa mara kwa mara kwa waislamu sio sawa kwani Uturuki ni nchi inayotambua dini na jamii zote kwa usawa .
0 MAONI YAKO:
Post a Comment