Simba wa Bongo fleva Tanzania Diamond Platnumz, ametuletea Video ya wimbo wake mpya wa Eneka. Tunakupatia Fursa ni yako sasa na muda ni wako. Enjoy video hiyo mpya ya Simba
Wauaji Albino wachinjwe haraka -Mwana FA
Mwanamuziki ambae amekuwa mstari wa mbele kutetea na kupiga vita dhidi
ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania Mwana FA ambae
kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Kiboko Yangu amefunguka na ku…Read More
Rais Kikwete ajivunia kuwabeba wanawakeRais Jakaya Mrisho Kikwete amesema anajivunia kuona anamaliza muda wake akiwa amefanikisha kujenga msingi imara ya kuwawezesha na kuwapa nafasi wanawake katika ngazi za uongozi na hivyo kuwataka viongozi wajao waendelee kuwap…Read More
Msiba: Watu zaidi ya 40 wamefariki kwa ajaliHabari zilizotufikia kutoka Mafinga Iringa ni kwamba watu zaidi ya arobaini wamefariki kufuatia basi la Majinja walilokuwa wanasafiria kutoka Mbeya kwenda Dar kugongana na Lori na hatimaye basi hilo kufunikwa na Kontena…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment