July 23, 2017


Watoto mapacha walioungana kuanzia kufuani mpaka tumboni wamezaliwa katika hospital ya misheni ya Berega wilayani Kilosa mkoani Morogoro. 

Mapacha hao waliozaliwa kwa njia ya upasuaji na kwa mujibu wa madaktari wa Hospitali hiyo kwamba wanaendelea vizuri, licha ya kuwa chini ya uangalizi wa Madaktari walimuhudumia mama huyo. Wanafikilia kumuamishia mama huyo na wanaye katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE