July 23, 2017

 
Nyotawa zamani wa klabu za Simba na Yanga zote za Dar Es Salaam na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Kigi Makasi, amefunga rasmi dirisha la usajili kwa timu ya Singida United. Kigi amabaye alikuwa mwiba sana hapo nyuma, amefunga dirisha kwa kuingia mkataba wa miaka miwili na Singida akitokea Ndanda FC ya Mtwara

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE