July 22, 2017

Image result for Hatimaye Mwana FA na AY kulipwa
Hatimaye ile kesi ya wanamuziki AY na Mwana FA, walioishtaki kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kwa kutumia nyimbo zao bila makubaliano nao, imefika tamati. Katika hukumu iliyoamliwa na mahakam kuu, Kampuni ya Tigo inatakiwa kuiwalipa wanamuziki hao zaidi ya Bilioni Mbili. Zaidi skiliza hapa chini
 
                      

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE