
Mwanamuziki toka katika kundi la Wanaume Chege Chigunda mtoto wa Mama Saidi, amesema yeye awezi kujiunga na ROCKSTAR4000 kwani kwa mkubwa Fella panamtosha sana. Chege Chigunda amezungumza hayo alipofanya Interview na mtangazaji Diva the Bawse katika kipindi cvha Ala za Roho ya Clouds Fm
0 MAONI YAKO:
Post a Comment