

Everton imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KRC Genk ya Ubelgiji katika mechi ya kirafiki kujiandaa na msimu mpya.
Samatta aliifungia Genk
bao la kusawazisha baada ya bao hilo la Rooney na mwisho kufanya timu
hizo zimalize kwa sare hiyo ya 1-1.
Rooney alifunga bao
lake katika dakika ya 45 na Everton iliyokuwa ugenini ikaenda mapumziko
na bao hilo moja lakini Samatta akaisawazishia Genk katika dakika ya 55.VIKOSI:
Genk: Jackers, Nastic, Brabec, Colley, Khammas, Berge, Malinovskyi, Trossard, Buffel, Benson, Samatta.
Subs: Coucke, Lenaerts, Wouters, Zhegrova, Naranjo, Vanzeir, Sabak, Schrijvers, Seigers, Heynen.
Goals: Samata 55
Everton: Pickford, Schneiderlin, Baines, Keane, Williams, Ramirez, Rooney, Gueye, Klaassen, Dowel, Holgate.
Subs: Joel, Stekelenburg, Lennon, Davies, Connolly, Calvert-Lewin, Mirallas, Kenny, McCarthy, Barry, Besic, Lookman, Martina
0 MAONI YAKO:
Post a Comment