July 30, 2017

Image result for ALfred Lucas wa TFF 
Kufuatia taarifa kwamba wenda klabu ya yanga ikapewa adhabu kwa kuvunja kanuni za usajili kutokana na kumsajili Golikipa wa Serengeti Boys Ramadhan Kbwili mkataba wa miaka mitano ikiwa ana umri chini ya miaka18,Msemaji waTFF Alfred Lucas amesema ingawa bado hajauona mkataba huo lakini lakini haoni kama ni dhambi kwa kabwili kupewa mkataba wa miaka mitano kwa sababu kanuni hazijajifunga.


Image may contain: 1 person, text

Alfred amesema Yanga wanaweza kumsajili mchezaji huyo kama mchezaji wa timu ya vijana   (Under 20) na baadae wanaweza kumpandisha kwenye timu kubwa.

Zaidi sikiliza alichosema  Alfred hapa chini

                     

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE