
Mkali wa Bongo Flava Diamond Platnumz ametangaza ujio wa albamu yake ya kwanza ‘A Boy From Tandale’ hivi karibuni.
Diamond aliyenyakuwa tuzo ya muziki ya Afrimma hivi karibuni kupitia
kipengere cha ‘Best Male East Africa’ ametangaza ujio wa albamu hiyo
kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

Kwa sasa mkali huyo an-ahit na ngoma ya ‘Hallelujah aliyoshirikisha Morgan Heritage na imeweka rekodi ya kufikisha views milioni moja ndani ya masaa 15, wimbo huo umeonekana kufanya pia kwani umekamata namba moja katika chat za mjuziki katika kituo cha BBC Radio 1Xtra ya nchini Uingereza. Pia Diamond ameonekana akifanya video ya wimbo mwingine na mkali wamuziki Ulimwenguni
0 MAONI YAKO:
Post a Comment