October 11, 2017

  

Mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania Nguza Viking maarufu kama babu seya anayetumikia kifungo cha maisha yeye na mwanaye kwa kesi ya kulawiti, ameomba msaada mwingine kwa Rais wa sasa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. John Pombe Magufuli. Katika barua hiyo, Babu Seya amezungumza vitu vya kusikitisha ambavyo vinaweza kukutoa machozi. Isome hapa chini

              

Related Posts:

  • Mama yake Hayati Samuel Sitta Alipoikaribisha Tigo Fiesta Tabora   Kama ilivyo kawaida ya FIESTA, huambatana na matukio mbalimbali ya Kitaifa, Kwa mkoa wa Tabpora watasherehekea Fiesta siku ya Ijumaa 01 Oct .Geah Habib alipata nafasi ya kutembelea nyumbani kwa Hayati Spika wa B… Read More
  • Unique Sisters warudi kwako wewe    Wasanii wakongwe kwenye game ya muziki ambao ni ndugu wa familia moja Unique Sisters, wamesema wamerudi rasmi kwenye game, kutokana na maombi ya mashabiki na kuachia kazi yao mpya kwa ajili yao inayoitwa '… Read More
  • Official Video: Madee ft Nandy - Sema    Madee anatualika hapa kuitazama Video mpya ya wimbo wake wa Sema aliomshirilisha Nandy       … Read More
  • Ancelotti atimuliwa Bayern   Kocha wa Bayern Munich Carlo Ancelotti amefutwa kazi leo kufuatia mwanzo mgumu wa msimu wa 2017/18 yakiwemo matokeo ya jana usiku ambapo timu hiyo ilikubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa PSG. Mkurugenzi … Read More
  • Mbowe Anyang'anywa Gari Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimesikitishwa na hatua ya uongozi wa Bunge la Tanzania ya kulichukua gari la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe alilokuwa akilitumia kwa sh… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE