
Kama gari kuwaka basi limewaka jumla. Ndiyo tunaweza kusema kwa sasa kwa msanii Aslay jinsi anavyokimbiza kila anapofanya show. Mbaya zaidi sasa huwa hapati tabu ya kuimba awapo jukwaani kwani mashabiki ndiyo wanaoimba nyimbo zake. Tazama alichokifanya katika show ya Fiesta Classic Mbeya usiku wa kuamkia leo hii.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment