October 13, 2017

Mkongwe katika Game ya Muziki na mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu, amelinogesha jukwaa la Tigo Fiesta Classic Jijini Mbeya pale alipopanda jukwaani na kunogesha show hiyo ya aina yake iliyofanyika kwa mara ya kwanza kabisa katika Jiji la MBEYA, Fiesta hii ilikuwa ni maalum kwa watu wa Mbeya

                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE