October 18, 2017

 
Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania marehemu, Edward Moringe Sokoine, Kereto Sokoine ameauwa kwa kuchomwa kisu katika ugomvi ulitokea na mkewe hii leo mkoani Arusha.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa limetokea mchana wa  leo Jumatano,na jeshi la polisi tayari lipo katika eneo la tukio kufuatilia kwa undani kilichojiri mpaka kutokea kwa tukio hilo.
Chanzo: Mtanzania

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE