November 14, 2017

Image result for mrisho mpoto akiwa na afande sele
Baada ya msanii wa muziki wa asili nchini Mrisho Mpoto kumtaka rapa Afande Sele kuacha kumtaja marehemu Steven Kanumba kwa mambo mabaya, rapa huyo mwenye makazi yake mkoani Morogoro amemtaka Mrisho Mpoto kuacha mambo ya kizamani.

                    

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE