November 13, 2017

 

Kufuatia hukumu iliyomkuta msanii Elizabeth Michael ama Lulu ya miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia dhidi ya msanii mwenzie ambaye alikuwa mpenzi wake Steven Kanumba, baadhi ya mastaa wameandika maneno haya katika mitandao yao ya kijamii.
                      


                   


                    

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE