December 14, 2017

 Image result for GODWIN OLOYCE MOLLEL
Dr Godwin Oloyce Mollel aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia leo na kujiuzulu Ubunge, amedai anamuunga mkono Rais Magufuli ambaye anapigania rasilimali za nchi yetu.



0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE