Leo katika Magazeti yetu jumamosi january 16 / 2016
Karibu katika magazeti ya leo hii Jumamosi January 16, 2016.Tumekuwekea vichwa vya habari katika baadhi ya magazeti nchini. Zaidi pitia katika meza za magazeti upate nakala yako
…Read More
Mwanamuziki Mos Def afurushwa A Kusini
Mwanamuziki wa muziki wa Rap kutoka Marekani kwa jina maarufu Mos Def ameamrishwa kuondoka Afrika Kusini katika kipindi cha siku 14 baada ya kukamatwa kwa kukiuka sheria za uhamiaji.
Mos Def anayejulikana kama Yasiin Bey ali…Read More
Simba wa kushangaza aliyeuawa Marekani
Simba huyo alikuwa pia na masharubu ya ziada
Simba wa milimani aliyeuawa katika jimbo la Idaho, nchini Marekani ameshangaza wengi kutokana na hali kwamba alikuwa na meno ya ziada kichwani.
Meno hayo kamili yanachomoza kutoka …Read More
Hivi ndivyo Boss waTP Mazembe,anavopambana na Mbwana Samatta
Mmiliki wa klabu ya TP Mazembe Moise Katumbi amegeuka wakala baada ya kuweka majukumu yake pembeni na kuanza kumtafutia timu nyota wa timu hiyo Mbwana Samatta ili akacheze kwenye timu ambayo anataka yeye (Katumbi) na siyo ti…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment